Add new testimonial 

JM MOBILE MASSAGE

Mikocheni
Dar es salaam Kinondoni , 64651
Tanzania
0753328150
ashura@jmmobilemassages.com
https://www.jmmobilemassages.com/

Review

yesterday's service was good, enjoyed a lot, a good therapist. will be requesting for more soon.

Review

Kwa huduma niliopata narudi Tena yaani mna huduma nzuri sana

Review

The service was Amaizing, I’ll come back this weekend

Review

Nimefurahia Huduma zenu, Asanteni sijajutia kabisa pesa yangu

Review

Asanteni sana nimefurahia huduma zenu na wahudumu wenu pia ni wasafi🙏🏽

Review

Jm mobile massage mko viziri sana....nimeenjoy sana kwa hii huduma yenu mpo na therapist walioenda shule wanajua kufanya massage....next time nataka romantic massage

Review

Nimependa huduma yenu...kiukweri mko vizuri sana muhudumu mzuri pia ni msafi....asante sana

Review

Thank you so much JM the service was superb and verry professional 👍

Review

You guys nimewapenda kwa kweli huduma ilikuwa so hot. Ila next time nitamchagua mwingine but hata huyu yupo vizuri sana. Nawapa nyota tano kabisaaaa😂😂

Review

Thank you I njoyed the service. Your service is international level next time will choose Bella to serve me again She is good. 💖💖

Review

Huduma zeni ni nzuri sana, nipewa huduma nilivyotaka. Asante sana, nitawaunganisha washikaji zangu.

Review

Nice and good work

Review

Verry superb 👍thanks a lot for your service Jm